KZKazizetu

Sumbawanga Municipal Council, Tanzania

Nafasi za Kazi 2 Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga

OpenFull-time· Government· Apply by 18 Aug 2026

About the role

The total number of job posts listed here for the Sumbawanga Municipal Council (Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga - SMC) is 2 posts in August 2026. This municipal administrative support recruitment targets official secretarial and office management services across local government departments. Job Title / SpecializationPostsMwandishi Mwendesha Ofisi Daraja la II (Office Management Secretary Grade II)2TOTAL POSTS2 Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga Vacancies: 2  |  Latest closing: 18/08/2026 MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II (OFFICE MANAGEMENT SECRETARY GRADE II) Posts: 2  |  Closing: 18/08/2026  |  Period: 05/08/2026 - 18/08/2026  |  Scale: TGS C Duties and Responsibilities Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawadia na za siri; Kupokea wageni na kuwasikiza shida zao na kuwaelekeza wanapoweza kusaidiwa; Kutunza taarifa za kumbukumbu ya matukio, miadi, tarehe za vikao, safari za Mkuu wake na ratiba za kazi zingine; Kutafuta majalada na nyaraka zinazohitajika katika utekelezaji wa majukumu ya kazi; Kupokea majalada na kusambaza kwa Maofisa waliokatika Idara/Kitengo/Sehemu husika; .Kukusanya, kutunza na kuyerejesha majalada na nyaraka sehemu zinazohusika; Kupanga dondoo na kufanya maandalizi ya vikao mablimbali; Kuandaa orodha ya mahitaji ya vifaa vya ofisi; naix.Kufanya kazi zingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi. Qualifications Kuajiriwa Wahitimu wa Kidato cha Nne (Form Four) au Kidato cha Sita (Form Six) wenye Stashahada (NTA Level 6) ya Uhazili (Secretarial Studies). Aidha, wawe wamefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maneno 80 (80.w.p.m) kwa dakika moja na kupata mafunzo ya programu za kompyuta za ofisi kama vile: Word, Excel, Powepoint, Internet, E-mail na Publisher kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali. Apply for this position

Similar openings