KZKazizetu

Uvinza District Council, Tanzania

Dereva Daraja II (3 Posts) Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza

OpenFull-time· Government· Apply by 7 Oct 2026

About the role

The total number of job posts listed here for the Uvinza District Council (Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza - Uvinza DC) is 3 posts in September 2026. This local government recruitment targets driver operations across council departments. Job Title / SpecializationPostsDereva Daraja II (Driver II)3TOTAL POSTS3 DEREVA DARAJA II (DRIVER II) Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza 3 Positions Application Period 22/09/2026 - 07/10/2026 Duties and Responsibilities Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari; Kuwapeleka Watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi; Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari; Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari; Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali; na Kufanya usafi wa Gari; Qualifications Kuajiriwa wenye cheti cha kidato cha Nne (Form IV) na Leseni ya Daraja E au C ya uendeshaji magari ambayo wamefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja (1) bila kusababisha ajali pamoja na vyeti vya mafunzo vilivyowapatia sifa ya kupata madaraja husika. Wawe wamehudhuria mafunzo ya msingi ya Uendeshaji magari (Basic Driving Course) yanayotolewa na Chuo cha VETA au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali. Remuneration TGS B

Similar openings