KZKazizetu

Golden enterprises, Tanzania

CONTENT CREATOR & DIGITAL MARKETING ASSISTANT

OpenFull-timeΒ· Apply by 18 Oct 2026

πŸŽ₯πŸ“± TUNATAFUTA CONTENT CREATOR & DIGITAL MARKETING ASSISTANT Una kipaji cha kupiga picha, kutengeneza video zinazovutia na kukuza biashara kupitia Instagram & TikTok? Basi nafasi hii ni kwa ajili yako! πŸ”₯ Tunatafuta kijana mwenye ubunifu, nguvu na passion ya digital marketing kujiu

About the role

  • πŸŽ₯πŸ“± TUNATAFUTA CONTENT CREATOR & DIGITAL MARKETING ASSISTANT
  • Una kipaji cha kupiga picha, kutengeneza video zinazovutia na kukuza biashara kupitia Instagram & TikTok?
  • Basi nafasi hii ni kwa ajili yako! πŸ”₯
  • Tunatafuta kijana mwenye ubunifu, nguvu na passion ya digital marketing kujiunga na team yetu.
  • πŸ’Ό MAJUKUMU YAKO
  • πŸ“Έ Kupiga picha na video za bidhaa kwa ubora
  • 🎬 Kutengeneza Reels, TikTok & Stories
  • πŸ“± Kusimamia Instagram, TikTok & Facebook
  • ✍🏽 Kuandika captions na content zinazovutia wateja
  • πŸ“’ Kusaidia kuandaa na kusimamia matangazo ya online
  • πŸ’‘ Kuleta ideas mpya za content zinazoweza kuongeza mauzo
  • πŸ“Š Kufuatilia performance ya content na matangazo
  • πŸ‘€ TUNATAFUTA MTU MWENYE:
  • βœ… Uzoefu wa content creation/social media
  • βœ… Uwezo wa kutumia simu/camera kupiga picha na video
  • βœ… Uwezo wa ku-edit video β€” CapCut, Canva n.k.
  • βœ… Anaelewa Instagram, TikTok & Facebook
  • βœ… Creative, mchapakazi na anayejifunza haraka
  • βœ… Anaelewa kwamba content nzuri lazima ilete attention β†’ inquiries β†’ sales
  • 🎯 Uzoefu wa fashion/kids fashion ni advantage.
  • πŸ“ Mahali: Kigamboni, Dar es Salaam
  • πŸš€ UNATAKA KUJIUNGA NASI?
  • Tuma: 1. Jina lako
  • Umri
  • Mahali unapoishi
  • Uzoefu wako
  • Link ya kazi zako/portfolio
  • Video au picha 2–3 ulizowahi kutengeneza
  • πŸ“²Β  Tuma kwena WhatsApp: +255757063509

Similar openings