KZKazizetu

RIZ MITUMBA OG, Tanzania

KIJANA WA DUKANI AWE WA KIUME NDO KIPA UMBE ZAIDI

OpenFull-time· Apply by 6 Oct 2026

About the role

Natafuta kijana wa Kuuza nguo Dukan, Duka lipo Sinza Afrikasana Karibu na Kanisa la Roma Katoliki lilipo mwenge. Umri awe na miaka 22 mpka 24 . Awe mzoefu kwenye biashara. Mshahara ni 200,000 kwa mwenzi. KIjana awe wa kiume au wa kike ili awe ashawah kufaya kaz before ya kuuza nguo za mtumba . Contact 0621513701 / 0781224090

Similar openings