Golden enterprises, Tanzania
SALES AND DISTRIBUTION OFFICER
OpenFull-timeΒ· Apply by 19 Oct 2026
NAFASI YA KAZI β SALES & DISTRIBUTION OFFICER π¨ Tunatafuta kijana mwenye bidii, nidhamu na uwezo wa kuuza na kusambaza bidhaa. πΉ SIFA ZINAZOHITAJIKA: β Awe na uwezo mzuri wa kuendesha pikipiki β Awe na leseni hai ya pikipiki β Awe mchapakazi, mwaminifu na mwenye nidhamu β Awe na
About the role
- NAFASI YA KAZI β SALES & DISTRIBUTION OFFICER π¨
- Tunatafuta kijana mwenye bidii, nidhamu na uwezo wa kuuza na kusambaza bidhaa.
- πΉ SIFA ZINAZOHITAJIKA:
- β Awe na uwezo mzuri wa kuendesha pikipiki
- β Awe na leseni hai ya pikipiki
- β Awe mchapakazi, mwaminifu na mwenye nidhamu
- β Awe na uwezo wa kuwasiliana vizuri na wateja
- β Awe tayari kutembelea maduka, supermarkets na maeneo mbalimbali kwa ajili ya mauzo
- β Mwenye uzoefu wa kuuza bidhaa za chakula, lishe, spices/masala au bidhaa zinazohusiana na chakula atapewa kipaumbele.
- πΌ MAJUKUMU:
- Kutafuta na kuhudumia wateja wapya
- Kusambaza na kuuza bidhaa za chakula
- Kufuatilia oda na malipo ya wateja
- Kujenga mahusiano mazuri na maduka na retailers
- Kufanya kazi kwa malengo ya mauzo
- π Eneo: Kigamboni / Dar es Salaam
- π Tuma maombi kupitia WhatsApp: +255 695 803 643